Breaking News
recent

JUA WACHEZAJI WALIOPATA TUZO JANA MANCHESTER UNITED....

Usiku wa jana kulikuwa na tuzo za wachezaji wa manchester united ambapo mashabiki wa manchester walishiriki kikamilifu kwa kupiga kura kuwachagua waliofanya vizuri msimu mzima


De gea alichukua tuzo ya mchezaji bora wa Msimu, kwakweli tuzo hii ni halali kabisa kwa De gea kwa sababu msimu mzima amejaribu kucheza kwa bidii japokuwa manU ilikuwa katika hali mbaya lakini de gea alicheza katika kiwango kilichobora.
Haya ni maneno aliyosema de gea baada ya kushinda tuzo hiyo "I tried to do my best this year and I think it was my best season so far. I felt really good and confident. I will try to do the same for next season."

 
Msimu wa mwaka 2013-2014 ulipoanza Wyne Rooney alianza kwa kusuasua lakini alijitahidi kuonyesha kiwango cha hali ya juu, Rooney amepata tuzo ya Goli bora la mwaka, hii ni nukuu alichozungumza Rooney baada ya kupata tuzo hiyo
"It was a goal that I am really pleased with, I do think David Beckham's was a bit better, but I was happy to score," Wayne commented.
"I did worry that it might bounce over the goalkeeper at first, but you just have to hope for the best. Thankfully it came off."


Huyu ni kijana aliyeanza kwa kasi manu ambapo mechi ya kwanza alikutana na Hull city ambapo aliweza kushinda magoli mawili na kuifanya manu kuwa kung'aa. James Wilson amechukua tuzo ya mchezaji bora under 21 akiwa na manu.

Huyu ndiye kocha mchezaji Ryan Giggs, ukiongelea wachezaji waliokuja vijana na kuzeekea manu hutamwacha huyu mkongwe, amejituma sana na amechukua makombe yote akiwa manu. jana amechukua tuzo ya mchezaji aliyepata mafanikio akiwa Manchester United....

Saidy Janko ni mchezaji wa manchester united under 21, amechukua tuzo ya mchezaji bora wa ziada akiwa manu, sema wengi wao wanaweza wakawa hawamfaham lakini kazi yake aingiapo uwanjani unasikia raha hata kama wamefungwa huwezi laumu kwa maana anaforce mashambulizi kwenye timu pinzani haya ni maneno aliyoyasema jana
"I didn’t expect something like this. I’ve settled in pretty well because Manchester United is like a family, so I made friends really quickly. Warren Joyce had confidence in me and gave me a chance to prove myself."
 
Angalia video hapo chini jinsi ilivyokuwa jana O.T


Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.