Breaking News
recent

SANAA CHAT SHOW: P-D AWASHUKIA WASANII WAKUBWA WANAOWATOZA PESA KUBWA UNDERGROUND

  Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka kilimanjaro P-D ameeleza kusikitishwa kwake na kitendo cha baadhi ya wasanii wakubwa wa hapa nchini kuwatoza pesa kuwa wasanii wadogo ili kuwainua kimuziki,P-D anayetamba na kibao chake cha Nakaza alichomshirikisha Nas b ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na Gwamaka wa 3 wa kipindi cha Sanaa Chat Show kinachorushwa na blog mbali mbali ikiwemo jichokali, boniface mjaila blog na nyingine nyingi..

                                                                        Bofya hapa Kusikiliza 

                                                                SOURCE: JICHOKALI BLOG
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.