Breaking News
recent

BUNGE MAALUM LA KATIBA LAPITISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA!

 
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta hivi punde ametangaza rasmi kupitisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa baada ya matokeo kutangazwa.‎
 
RASIMU YA TATU YA BUNGE MAALUM LA KATIBA NCHINI TANZANIA IMEPITA KWA THELUTHI MBILI ZA WAJUMBE KUTOKA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR. 
 
1. ZANZIBAR. 
 
* Sura ya Kwanza Ibara ya 1 hadi 11 imepata theluthi Mbili

* Sura ya Pili Ibara ya Ibara ya 12 hadi 21 imepata theluthi mbili

* Sura ya Tatu Ibara ya 22 hadi 22 hadi26 imepata theluthi mbili

* Sura ya Nne Ibara ya 27 hadi 30 imepata theluthi mbili

* Sura ya Tano Ibara ya 31 hadi 64 imepata theluthi mbil

*Sura ya Sita Ibara ya 65 hadi 69 imepata theluthi mbili

*Sura ya Saba Ibara ya 70 hadi 75 imepata theluthi mbili

*Sura ya nane Ibara ya 76 hadi 121 imepata theluthi mbili

*Sura ya Tisa Ibara ya 122 hadi 123 imepata theluthi mbili

*Sura ya Kumi Inara ya 124 hadi 157 imepata theluthi mbili

*Sura ya Kumi na Moja Ibara ya 158 hadi 161 imepata theluthi mbili

*Sura ya Kumi na Mbili Ibara ya 162 hadi 202 imepata theluthi mbili

*Sura ya Kumi na Tatu Ibara ya 203 hadi 208 A imepata theluthi mbili

*Sura ya Kumi na Nne Ibara ya 209 hadi 221 imepata theluthi mbili 

*Sura ya Kumi na Tano Ibara ya 222 hadi 242 A. imepata theluthi mbili

*Sura ya Kumi na Sita Ibara ya 243 hadi 257. imepata theluthi mbili

*Sura ya Kumi na Saba Ibara ya 258 hadi 269. imepata theluthi mbili

*Sura ya Kumi na Nane Ibara ya 270 hadi 274. imepata theluthi mbili

*Sura ya Kumi na Tisa Ibara ya 275 hadi 289. imepata theluthi mbili

KWA MATOKEO HAYO NI KWAMBA IBARA ZOTE 289 ZIMEPATA THELUTHI MBILI KWA UPANDE WA ZANZIBAR.

SOURCE: ROCK CITY MWANZA
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.