Breaking News
recent

Hot News!! WAPOTEZA MAISHA KWA KUTEKETEA KWA MOTO WAKIIBA MAFUTA USIKU WA KUAMKIA LEO, CHEKI PICHA PAMOJA NA VIDEO



TAARIFA zilizotufikia ni kwamba watu kadhaa wanadaiwa kupoteza maisha kwa kuungua na moto uliolipuka wakati wakichota mafuta kutoka kwenye lori lililopata ajali usiku wa kuamkia leo eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam.



Kwa mujibu wa mtu aliyekuwa eneo la tukio ni kwamba watu hao walikuwa wakiiba mafuta baada ya lori lililokuwa limebeba shehena ya mafuta kupata ajali kabla ya kulipuka na kusababisha maafa hayo.

Mpaka sasa bado idadi kamili ya watu waliopoteza maisha haijafahamika.



Tutazidi kuwajuza kuhusu tukio hili tutakapopata idadi ya watu waliofariki, majeruh na mengineyo
ANGALIA VIDEO HAPO CHINI:


 


Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.