Breaking News
recent

C.E.O WA ARSENAL AZUNGUMZIA ITAKUAJE AKIONDOKA ARSENE WENGER

Arsene Wenger Akiondoka Arsenal Itakuwa Ngumu Kupata Kocha Mpya 'Ivan Gazidis'.
Chief Executive Officer wa klabu ya Arsenal 'Ivan Gazidis' amesema changamoto kubwa watakayo kuwa nayo ni kutafuta kocha mpya pale Arsene Wenger atakapoamua kustaafu.

Wenger anayetimiza miaka 65 tarehe 22 October 2014 alitia wino kwenye mkataba mpya wa miaka mitatu May mwaka huu.

Ivan Gazidis anasema tuna Giant anaongoza klabu yetu na ametuweka sehemu nzuri kwa muda mrefu.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.