Breaking News
recent

MAYWEATHER 'ABETI' NA KUPIGA DOLA MILIONI 2 KAMA MCHEZO, TENA BILA JASHO

BONDIA Mmarekani, Floyd Mayweather ameibuka na karibu dola za Kimarekani Milioni 2 baada ya kubeti katika mechi za NFL wiki tatu zilizopita, kufuatia kuweka dola 940,000 kwenye mechi mbili.
Mayweather, mwanamichezo anayeongoza kulipwa duniani, ameondoka na dola 1,825,714.28 baada ya kushinda beti zake zote kwa Seattle Seahawks na Indianapolis Colts alizozipigia beti kushinda kwa zaidi ya pointi saba.
The Colts, ikiongozwa na Andrew Luck, iliifunga Jacksonville Jaguars 44-17 Septemba 21 kabla ya Seattle kuifunga Washington Redskins 27-17 jana.


Floyd Mayweather ndiye mwanamichezo anayelipwa zaidi duniani
Betting slip for Colts vs Jaguars
Betting slip for Seahawks vs Redskins
Mayweather ameposti beti zake mbili kwenye Instagram yake 
Russell Wilson ran for a career-high 122 yards as Seattle beat Washington 27-17 on Monday night
Russell Wilson aliiongoza Seattle kuifunga Washington 27-17 jana
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.