Breaking News
recent

GOOGLE KUANZISHA APP YAKE YA UJUMBE INAYOFANANA NA WHATSAPP


Google inatarajia kuanzisha app yake ya ujumbe inayofanana na Whatsapp.
google-whatsapp
Kampuni hiyo inaaminika kuwa imepanga kuzindua app hiyo mwakani baada ya kuifanyia majaribio nchini India.
Google iliyokuwa na nia ya kuinunua Whatsapp kwa dola bilioni 6, ilizidiwa dau na Facebook iliyoinunua kwa dola bilioni 19. App hiyo itapatikana bure na haitawataka watumiaji kujiandikisha kwa kutumia akaunti yake kuu ya Google.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.