Breaking News
recent

ALEX SANCHEZ ASHINDA GOLI BORA ZA MWEZI, CHEKI VIDEO




Picha ya juu inaonyesha Sanchez akipiga mpira kufunga goli, picha ya chini kushoto Joe Hart akiruka bila 

mafanikio na kulia chini Sancez akishangilia goli hilo. Alexis Sanchez licha ya kushinda goli bora la mwezi 

alilofunga dhidi ya Manchester City lakini pia goli alilofunga kwa faul dhidi ya Southampton lilishika namba mbili 

huku goli la Jack  Wilshere dhidi ya Manchester City likishika namba tatu. 


Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.