Breaking News
recent

MENEJA WA ZAMANI WA REAL MADRID KUINOA GHANA

Meneja wa Real Madrid Kuinoa Ghana (Black Stars)
Bernd Schuster yupo katika orodha ya makocha watano ambao wanawania nafasi ya ukocha wa timu ya taifa ya Ghana, hizi zikiwa ni taarifa za shirikisho la soka nchini la nchi hiyo.
Bosi huyo wa zamani wa Real Madrid hakufikiriwa kuipigania kazi hiyo kabla ya kujitoa kwa Patrick Kluivert katika mchakato huo kiasi kupelekea kuingia kwa mjerumani huyo katika orodha ya wapigania kazi hiyo.
Michel Pont na Marco Tardelli watakutana na FA ya Ghana Oktoba 17, kabla ya  Avram Grant na Juan Ignacio Martinez kufuatia siku itakayofuata wakati taifa hilo likiwa katika harakati za kusaka bosi mpya baada ya kuachana na James Appiah kwa hiari yake mwezi Septemba.
Appiah alikuwepo katika benchi katika kipindi cha miaka miwili na nusu na kukiongoza kikosi hicho kikienda sare ya bao 1-1 na Uganda mchezo wa kuwania kufuzu fainali ya mataifa ya Afrika na baadaye wakipata ushindi wa bao 3-2 dhidi ya Tog
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.