Breaking News
recent

BAADA KICHAPO, BRENDAN RODGERS ALIA BALOTELLI LAZIMA AFANYE JUHUDI ZAIDI!

MARIO-BALOTELLI-LIVERMENEJA wa Liverpool Brendan Rodgers amesisitiza Mario Balotelli anapaswa kufanya juhudi zaidi kwa ajili ya Timu yake mpya baada ya kushindwa kufunga Bao katika Mechi yake ya 4 mfululizo baada ya Jana kuchapwa 1-0 na FC Basel katika Mechi ya Kundi lao la UEFA CHAMPIONZ LIGI.
Tangu ahamie Liverpool kwa Pauni Milioni 16 mwanzoni mwa Msimu kutoka AC Milan, Mchezaji huyo wa Kimataifa wa Italy amefunga Bao 1 tu na hii ni tofauti na alivyong’ara huko kwao Italy ambapo kwa Misimu miwili iliyopita amekuwa mtambo wa Magoli.
Licha ya kutofunga Bao lolote kwa Liverpool Wadau wa Klabu hiyo wamemsifia sana kwa kujituma kwenye Mechi lakini Meneja Rodgers amesema hilo halitoshi.
Brendan Rodgers amesema: “Amefanya juhudi kubwa lakini anahitajika kufanya zaidi. Yeye ataonekana bora tu kwa kile anachotengeneza Uwanjani na kufunga Mabao na hajafunga!”
Lakini Rodgers amekiri: “Kijana huyu anajitahidi, anafanya juhudi kubwa!”
BPL-LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
**Saa za Bongo
Jumamosi Oktoba 4
1700 Hull v Crystal Palace
1700 Leicester v Burnley
1700 Liverpool v West Brom
1700 Sunderland v Stoke
1700 Swansea v Newcastle
1930 Aston Villa v Man City
Jumapili Oktoba 5
1400 Man United v Everton
1605 Chelsea v Arsenal
1605 Tottenham v Southampton
1815 West Ham v QPR
MSIMAMO WA LIGI KUU EPL
NA
TIMU
P
GD
PTS
1
Chelsea
6
12
16
2
Southampton
6
7
13
3
Man City
6
5
11
4
Arsenal
6
4
10
5
Swansea
6
2
10
6
Aston Villa
6
-3
10
7
Man United
6
2
8
8
Tottenham
6
1
8
9
Crystal Palace
6
0
8
10
West Brom
6
0
8
11
Stoke
6
0
8
12
Leicester
6
-1
8
13
West Ham
6
0
7
14
Liverpool
6
-1
7
15
Everton
6
-2
6
16
Hull
6
-2
6
17
Sunderland
6
-1
5
18
QPR
6
-9
4
19
Newcastle
6
-7
3
20
Burnley
6
-7
3

                                                        SOURCE: SOKA IN BONGO
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.