Breaking News
recent

FLOYD MAYWEATHER AZIDI KUONYESHA JEURI YA FEDHA

Floyd Mayweather ameendelea kuonyesha jeuri ya fedha baada ya kutundika picha nyingine mtandaoni akihesabu ‘mahela’.



Bondia huyo ameishapigana mapambano 47 bila ya kupoteza hata moja, lakini baba yake mzazi amesisitiza, lazima pambano linalofuata litakuwa dhidi ya Manny Pacquiao.
Floyd amesema pambano kati ya mwanaye na Pacquiao litakuwa mwakani, lakini hakusema tarehe.
Linatarajiwa kuwa ndiyo pambano ghali zaidi kwa kuwa litagharimu hadi dola milioni 300.

Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.