Breaking News
recent

BIG BROTHER AFRICA: MSHIRIKI KUTOKA TANZANIA AFUNGASHA VIRAGO

Mwakilishi wa kike wa Tanzania, Laveda ameondolewa kwenye mashindano ya Big Brother Africa Jumapili hii.
image

Laveda amekuwa mshiriki wa sita wa kike kuondolewa kwenye mashindano hayo. Mshiriki mwingine aliyetoka leo ni Alusa wa Kenya ambaye amekuwa mwanaume wa kwanza kutoka. Kenya haina tena mwakilishi kwenye shindano hilo.
image
Tanzania imebakiza mshiriki mmoja, Idris Sultan.


Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.