Breaking News
recent

RICK ROSS ADAI KUWA KWENYE MAONGEZI KUWA MMOJA WA WAMILIKI WA NFL FRANCHISE

Rick Ross anategemea kuongeza idadi ya biashara zake. katika  interview aliyoifanya na Angie Martinez, boss wa Maybach Music Group amebaini kutafuta kumuongeza mmiliki wa NFL kwenye biashara zake.
"Nilienda nikakaa chini na Miami Dolphins. Tulijadilia vitu kadhaa. Nimekuwa na interest ya kujaribu kununua pasenti ndogo ya Dolphins kwa muda mrefu sasa" amesema Ross. "Hatimae wamenialika kwenye ofisi zao. Nimekaa na baadhi ya watu. Ilikuwa ni maongezi mazuri sana."

Rapper wa “Keep Doing That”  ameongeza  kuwa franchise inategemea kuamua lini na kama tutaweza kumaliza hii ishu. kwa wakati huu  Ross anaachia album yake  Hood Billionaire tarehe 24 mwezi November. Mashabiki wategemee appearances katika project hiyo kutoka kwa Jay Z, T.I. na K. Michelle.
CHEKI VIDEO HAPO CHINI AKIFUNGUKA


Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.