SIR ALEX FERGUSON KUSTAAFU KAMA MANAGER WA MANCHESTER UNITED BAADA YA KUTUMIKIA KWA MIAKA 26
Manager wa timu
ya uingereza Manchester United, Alex Ferguson anatarajiwa kustaafu baada ya
kufanya kazi na timu hiyo kwa zaidi ya miaka 30,club hiyo imetangaza jumatano ya
leo
Ferguson mwenye miaka 71 hivi sasa amefanikiwa
kusimamia timu hiyo yenye mamilioni ya mashabiki tangu mwaka 1986
katika miaka yaje 26 kama manager wa timu hiyo,
alishinda vikombe 30 pamoja na vikombe vikubwa 13
Ferguson ataachia nafasi hiyo baada ya game ya
mwisho ya club hiyo kwa msimu huu ambayo itakuwa ni mechi kati yao na Manchester United.
haijajulikana
bado nani atakae mrith kiti hicho
No comments:
Post a Comment