KERI HILSON AINGIA JIKONI NA KUMPIKIA FUFU BOYFRIEND WAKE - STAR WA NBA SERGE IBAKA
Star wa muziki
kutoka Marekani "Keri Hilson" ambae ni girlfriend wa mchezaji wa basketball,
star wa NBA mwenye asili ya Congo - Spanish Serge Ibaka, amedhihirisha mapenzi
yake kwa boy friend wake kwa kuingia jikoni na kupika chakula ambacho ni maarufu
katika mila na asili za boyfriend wake huyo, kama unavyojua uki date na mwanaume
wa kiafrika, lazima anakuwa na matarajio flani kutoka kwa mwanamke hasahasa
katika maswala ya msosi na mapishi
Mwanadadiva
aliehit na “Pretty Girl Rock” dhahiri hakuwa na aibu ya kuwa
mbali na matarajio hayo pale alipoweka ustar pembeni na kumtengenezea boyfriend
wake chakula cha asili yao kinachoitwa "fufu"
No comments:
Post a Comment