CHECK OUT:SINGLE MPYA YA IZZO"LOVE ME" ILIVYOPOKELEWA NA MASHABIKI NDANI YA AMBASSADORS LOUNGE
Baada
ya miezi mitatu tu tangu Izzo alipoachia single yake akiwa na Ngwea na Quick
"Ball Player",sasa usiku wa kuamkia leo ndani ya Ambassadors Lounge ameachia
single nyingine mpya "Love Me" ambayo ipo ki mapenzi zaidi akiwa na Shaa pamoja
na Barnaba.
Hizi ni picha za mastaa na watu mbalimbali waliofika
Ambassadors Lounge kusikiliza single hiyo mpya ambayo ilipigwa
live...!!!!!!!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment