Breaking News
recent

COLLABO YA JAY MARTIN NA DIAMOND IMEIVA.....





Wimbo wa DIAMOND na JAY MARTIN wa NIGERIA upo kwenye hatua za mwisho mwisho za mixing kwa mj rec chini ya DOCTAR CHALI, kisha aupeleke JAY MARTIN kwa ajili ya kutia sauti yake,Kikubwa zaidi kwenye nyimbo hiyo DIAMOND amempa shavu mmoja kati ya madancer wake(mose)wamesema BONGO5....

DIAMOND kwa sasa ameamua kujitanua kiAFRIKA zaidi,akimaliza na JAY MARTIN wengne watafuatia...!!!
pia wimbo huo unatarajiwa kufanyiwa video SOUTH AFRIKA chini ya CARPITAL....
SOON UKIWA TAYARI UTAPATIKANA KWENYE RADIO NA SOCIAL NETWORK,,,so stay tune.. .
Unknown

Unknown

1 comment:

Powered by Blogger.