VIONGOZI WA DINI WAJA JUU KUTOKANA NA HABARI YA WASICHANA 11 KUSHOOT VIDEO YA NGONO NA MBWA
Habari iliyosambaa
hivi sasa kupitia mitandao ya jamii nchini Kenya na kuwashangaza wakenya wengi
ni kuhusu mwanaume mmoja raia wa kigeni na wasichana 11 waliokamatwa Mombasa kwa
tuhuma za kushoot video ya ngono na mbwa.
Kwa mujibu wa Baraza la Maimamu na
Wahubiri wa Kenya (CIPK) tukio hilo ni la aibu kwa jamii na inahitaji kukemewa.
viongozi hao wametoa wito kwa polisi kufanya uchunguzi kamili na kuhakikisha
kuwa pande zote zinazohusika zinafikishwa mbele ya sheria bila woga au
upendeleo. Viongozi hao wamebainisha kuwa baadhi ya matukio yanachangiwa na
ukosefu wa msimamo kutoka kwa viongozi wa serikali na viongozi wa juu, juu ya
masuala hayo.
'Hii sasa imefikia hatua ya kusumbua
sana, kama binti zetu wanaweza kwenda nje na kulala na mbwa, na ni polisi pekee
ndio wanaweza kusimamisha uovu huu,w kwa sababu hata baadhi ya viongozi wetu wa
sasa na wa zamani katika serikali kamwe ameshindwa kujitoa na kuonyesha msimamo
wao juu ya masuala hayo 'alisema Sheikh Khalifa Mohammed CIPK.
Sheikh Khalifa amebaini kwamba kuna
club nyingi za wacheza uchi {stripper} na madanguro hasa Mombasa na Kilifi
ambapo wasichana wenye umri mdogo kuwaburudisha wateja wao huku wakiwa uchi na
kuwataka viongozi wa serikali na serikali kwa jumla kuzifunga sehemu hizo.
haya ndio majina ya watuhumiwa wa kosa
hilo. Janeth Amollo, Christopher Clement
Weissenrieder, Mercy Waithera Karanja, Beatrice Mueni Mwosa, Mary Nyambura
Kimani, Magdaline Wairimu Chege, Celestine Nekesa Sitati, Dorcus Melisah
Indakwa, Lydia Nyaboke Momanyi, Beatrice Mueni Mwosa, Phidelia Mawia Sollomon,
Anne Wanjiku Gichuki na Cecilia Nzambi Katuku.
No comments:
Post a Comment