FARSAFA BORA YA MAISHA YAKO
EWE KIJANA:-
Ø
USIKUBALI KUZOEANA GHAFLA NA MTU USIYEMJUA
Ø
UNAPOITWA GHAFLA USIGEUKE, PUUZA KAMA HUSIKII
ILI KUPIMA SAUTI NI YA NANI.
Ø
USIPENDELEE KUTUMIA NJIA MOJA, BADILISHA NJIA
NYINGINE ILI KUPATA CHAKO KIHALALI
Ø
POPOTE UTAKAPO KWENDA FUATA SHIDA YAKO
ILIYOKUPELEKA
Ø
EPUKA KUCHUNGUZA KITU KISICHOKUHUSU NA EPUKA
KULAUMU HADHARANI
Ø
JITAHIDI KUMJUA MTU TABIA YAKE
Ø
MJALI MWENZAKO, TUNZA SIRI NA JITAHIDI KUTIMIZA
AHADI.
Ø
UKIAMINIWA BASI NA WEWE JIAMINI
Ø
USIWE NA TABIA YA KUDHARAU WENZIO
Ø
RIDHIKA NA ULICHO NACHO
Ø
CHUKUA MAAMUZI YALIYO NA BUSARA, NA USIPENDE
KUSIKILIZA MANENO YA WATU
Nimekuletea Ujumbe huu ewe kijana,
maamuzi ni sasa fanya lililojema na kukumbuka fadhira.
TAFAKARI , CHUKUA HATUA
No comments:
Post a Comment