MIGOMO YARUDI TENAAAAA....................................
Zaidi ya walimu 200 wa shule za sekondari katika manispaa ya ilala jijini Dar es salaam wamekusanyika katika ofisi za mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kufuatilia madai ya mishahara yao ya miezi miwili wakitishia kutoingia madarasani ifikapo jumatatu wiki ijayo endapo madai ya malipo yao hayatofanyiwa kazi.
No comments:
Post a Comment