NU JOINT: JIKUBALI BY BEN POL
The most awaited
single kutoka kwa Ben Pol, sasa ishafika masikioni mwako, "Jikubali" single
inayotoa matumaini kwa vijana wengi, huku ikiwataka wengi kutumia muda huu
kuutumia vizuri na kufanikiwa kama wengine walivyo fanikiwa huku akiwataja
wasanii kama AY,Jay, Lina, Diamond wasanii wa movie pia kama Ray na Jay B, pila
kusahau upande wa wanasiasa akimtaja Zitto Kabwe na wengineo ambao wanaonyesha
kuwa na mafanikio katika kazi zao
No comments:
Post a Comment