NEY AKANUSHA ALICHOKIANDIKA CHIDI BENZ KUWA ALIFANYIWA FUJO KWENYE SHOW MBAGALA
"aaa ukweli ni
kwamba sijui anachokitengeneza yeye, mimi ndio nimefunga show mbagala, hakuna
kitu kama hicho kilichotokea,unajua mi nilikua nimerusha flana niliyokuwa
nimevaa, watu walikuwa hataki niimbe nikiwa na flana, so baada ya kuirusha ile
flana ndio watu wakaanza kusukumana huku na kule, umati ulikuwa mkubwa, aah
ikabidi wakadondokea ile mashine ambayo ilikua inapiga mziki pale, nafkiri show
ndio ikaishia pale.na nimeondoka pale nikisindikizwa na umati wa watu mia mbili
au mia tatu, mi nilikua kwenye boda boda wamenisindika mpaka ndani Dar
Live.
Chidi amendika kitu
kama hicho so sijui anataka kunitengenezea CV gani, lakini hakuna kitu kama
hicho kwanini, mimi ndio nimefunga show, walikuwa wanasubiri show yangu mimi,
kila mtu alikua anataka kuongea na mimi hata kunigusa tu, kila mtu alikua
anataka kuongea na mimi, hata kunigusa tu...."
Chidi ajipange
amechezea bahati alipata line nzuri kafanya mambo ya ajabu, mwisho wa siku
amepotea, anahisi na mimi naweza nikapotea kama yeye, mi najua nafanya nini, mi
mtoto wa kihuni ambae nimetokea mbali, nimepitia mengi, sijatengenezwa kama yeye
alivyotengenezwa, nimefight mpaka leo mashabiki wananielewa.
Hiki ndicho
alichokuwa amekiandika Chidi kwenye ukurasa wake wa facebook
HÃki ndicho kilichomponza
Ney wa Mitego jioni katika show yake ya Mbagala Zakhen ni; Aliposema Chid Benz
katoboa pua au c ridhiki? Na wavuta sigara wote ni Matahira.Hapo ndipo raia fans
wa Chid benz na Wavuta fegi wakalianzisha.Palikuwa hapatosh amesepa hana viat na
watu wameumia na kuibiwa...!!!!!!!! unaweza kushea hii habari pia kwa matukio
unaweza uka like new blog hii hapa
1 comment:
aibuuuuuu duhhh!!
Post a Comment