CHRIS BROWN ATHIBITISHA KUACHANA NA RIHANNA
It’s
official. Riri na Chris Breezy hawako pamoja tena au kwa sasa hawako
pamoja.
wapenzi
hao wazamani, wameonekana wakitumia weekend zao kwa umbali wa maili 300 weekend
iliyopita, huku Chris akila bata Vegas kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa, huku
Rihanna akitumia siku ya jumamosi akiwa Barclays Center kwenye game kati ya Nets
na Bulls
kwa
mda sasa Riri na Breezy wamekuwa wakiwafanya mashbiki wao kuhisi kama wako
pamoja au la, lakini finally ameamua kuzungumza wakati wa interview aliyofanya
na “The Kyle and Jackie O Show.” wakati alipoulizwa kuhusu zawadi ipi ingekuwa
zawadi nzuri kwake.
ambapo
Chris alisema kukutana na wasichana wengi iwezekanavyo Vegas, kitu kilichomfanya
mtangazaji kama yuko single ambapo alisema
"Yeah, I’mma do it solo. I mean at the end of
the day, shawty doing her own thang. She on the road… It’s always gonna be love…
I’m a grown man, just gotta fast forward."
na
alipoulizwa kama Rihanna ndio soul mate wake na kuwa siku zote watakuwa pamoja
hiki ndicho alichokisema
"I’ll just put it like this, one thing I always
want to do is never disrespect nobody or put nobody down. The way I look at it
is that I am always gonna love that person and people have different
wants and needs. At the end of the day, she’s a young girl. I can’t really be
focused on wifing someone that young. And I’m young too so I can’t focus on that
right now. I gotta step forward and be a man and be the best Chris Brown I can
be instead of worrying about whoever else is gonna be on my side
pocket."
No comments:
Post a Comment