RPC- ARUSHA ATHIBITISHA KUWA KILICHOLIPUA KANISA NI BOMU....WATU 3 WANAHALI MBAYA, 50 WAMEJERUHIWA
RPC wa mkoa wa Arusha naye aliambatana na mkuu
wa mkoa na muda huu alikuwa anatoa nasaha zake kwa
wananchi....
RPC ameeleza kuwa tukio hili ni la kigaidi.
Katika maelezo yake, RPC amesema kuwa aliyehusika alijitokeza nyuma ya jengo
kwa kujificha na kurusha bomu. ...
Amesema Polisi wanawasaka waliohusika na unyama huu
na ameomba yeyote mwenye taarifa yoyote aisaide polisi. ..
Waliojeruhiwa ni 50 .Hao wana majeraha ya kawaida na 3
wako mahututi
Mpaka sasa mtu mmoja anashikiliwa na polisi kwa
mahojiano zaidi.
No comments:
Post a Comment