Pedro Aguayo Ramirez |
Mwana miereka mmoja wa Mexico alifariki baada ya kupigwa ngumi katika shingo ndani ya ukumbi wa miereka.
Pedro Aguayo Ramirez mwenye umri wa miaka 35 anayejulikana kama Hijo del Perro Aguayo alianguka na kupoteza fahamu katika kamba ndani ya ukumbi wa miereka baada ya kupigwa teke na mpinzani wake Oscar Gutierrez anayejulikana kama Rey Mysterio junior,kulingana na kanda ya video ya pigano hilo ilillofanyika katika ukumbi wa manispaa ya Tijuan. Taarifa zilizopo mpaka sasa tokea kutokea kwa kifo chake, uchunguzi unaendelea, kama rey mysterio alikusudia kuua au amekariki katika mchezo...
CHEKI VIDEO HAPO CHINI:
No comments:
Post a Comment