Breaking News
recent

BREAKING NEWS: MAJAMBAZI WAMEWAVAMIA POLISI NA KUWAPORA SMG 2...



 Majambazi yamevamia kizuizi cha polisi katika eneo la kongowe na kuuwa askari polisi wawili na kupora smg mbili muda huu. Pia baada ya tukio hili wamevamia sheli ya lake oil na kutokomea msitu wa vikindu mkuranga. Mapigano makubwa kati ya Askari na majambazi na mpaka muda huu tumepoteza Askari 2...

Ni halali yangu kukupa habari zitokeapo nifollow instagram @bonifacemjaila pia facebook na twitter : boniface mjaila

Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.