"Leo hii inasikitisha sana ninapoona beki kama huyu anayejitoa kwa nguvu zake zote kuondoka katika club hiyo" alisema shabiki 1 wa manchester united
KWA UKARIMU NA KUJITOA KWAKO KATIKA TIMU HAUTASAHAULIKA MANCHESTER UNITED
Nemanja vidic amekuwa mtu wa kujitoa kila mara anapoichezea manchester united akiwa uwanjani, leo hii nemanja anaawachia majonzi makubwa sana manchester united kwa kukosa beki anayeshubutu kuweka hata sehemu moja wapo wa mwili wake ili kuzuia goli lisiingie.

"Leo hii inasikitisha sana ninapoona beki kama huyu anayejitoa kwa nguvu zake zote kuondoka katika club hiyo" alisema shabiki 1 wa manchester united

Kwaheri nemanja vidic, huko uwendako tunakutakia kila la heri, ukajitume kama ulivyokuwa unajituma ukiwa na machester united...
"Leo hii inasikitisha sana ninapoona beki kama huyu anayejitoa kwa nguvu zake zote kuondoka katika club hiyo" alisema shabiki 1 wa manchester united
No comments:
Post a Comment