Breaking News
recent

T.I AONGEA JUU YA KUMSHIRIKISHA PHARELL WILLIAMS KAMA MUANDAAJI MKUU ALBAM YAKE MPYA....

October 21, Rapper kutoka Atlanta T.I. ataachia album yake ya 9 Paperwork. Tip amemshirikisha Pharrell Williams kuwa muandaaji mkuu wa project yake hiyo mpya akiamini itapelekea kuwa combination kali  

 "Ukimuacha DJ Toomp, ni mara ya kwanza nimeruhusu producer kuja na kutengeneza sound yangu jinsi anayoona yeye inafaa" amesema T.I  ni lazima utafute njia ya kujitengeneza upya mwenyewe ili kuendelea kubaki katika game bila kupitwa na wakati. Na nani mwingine wa kunisaidia zaidi ya mtu ambae anakipaji na kuipenda kazi yake zaidi ya Pharel Williams,  kupitia kazi zake n amabawa yake na kuchana kwangu tume-balanc, ushirikiano huo ndio unafanya project hii iwe ya kitofauti na kipekee kabisa"


Tip pia amewashirikisha Toomp, Timberland na Dj Mustard kwenye production ya album hiyo huku wasanii wakubwa aliowashirikisha ni pamoja na Jeezy, Iggy Azalea, Chris Brown, Boosie, Usher, Rick Ross, Skylar Grey na The-Dream.
 Paperwork  inajumuisha single yake inayofanya vizuri hivi sasa “No Mediocre” with Azalea and “About The Money” akiwa na Young Thug.
Paperwork inatarajiwa kudondoka sokoni ikifika October 21 mwaka huu (2014)

Paperwork Tracklist
1.     King
2.     G’ Shit ft. Young Jeezy & WatchTheDuck
3.     About The Money ft. Young Thug
4.     New National Anthem ft. Skylar Grey
5.     Oh Yeah ft. Pharrell
6.     Private Show ft. Chris Brown
7.     No Mediocre ft. Iggy Azalea
8.     Jet Fuel ft. Boosie Badazz
9.     Paperwork ft. Pharrell
10.   Stay ft. Victoria Monet
11.   About My Issue ft. Victoria Monet & Nipsey Hussle
12.   At Ya’ Own Risk ft. Usher
13.   On Doe, On Phil ft. Trae The Truth
14.   Light Em Up (RIP Doe B) ft. Pharrell & WatchTheDuck
15.   Let Your Heart Go (Break My Soul) ft. The-Dream

Deluxe Edition
16. Sugar Cane
17. I Don’t Know
18. You Can Tell How I Walk ft. Rick Ross

SOURCE: DJFETTY
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.