Breaking News
recent

PICHA::: HAPPYBIRTH DAY BONIFACE DAVID MJAILA!!!!

MMILIKI WA BLOG HII BONIFACE MJAILA 
14/09/1993 Ni siku niliyozaliwa siku ambayo ilikuwa ya furaha kwa Mama yangu na ndugu zangu kwa ujumla... Kila mwaka naikumbuka siku yangu kwa kumshukuru MUNGU kila hatua ninayopiga na kumwomba azidi kuniongoza katika njia sahihi

Mmiliki wa blog hii akiwa amekula pozi ndani ya uzi wa manutd

Mimi ni shabiki wa MANCHESTER UNITED leo siku yangu imeenda poa sana maana nimeiweka katika kumbukumbu 14/09/2014 MANCHESTER UNITED vs QPR kwa mara ya kwanza tangu msimu uwanze Manutd wanapata ushindi mnono baada ya kufungwa na kutoa droo mechi 4 nyuma... Leo imeshinda Manutd 4 - 0 QPR magoli yakiwekwa nyavuni na Angel Di maria 24, Ander Herrera, Wayne Rooney pamoja na Mata....


Di. Maria, Herrera,Rooney na Mata wakishangilia ushindi wao wa kwanza tangu msimu kuanza 14/09/2014

Nimshukuru Mungu maana yeye ndiye aliyenirinda mpaka siku hii ya leo, nimshukuru Mama na Baba yangu maana wao ndio wamenisimamia mpaka hapa nilipofika, niwashukuru Ndugu dada zangu Beatha, Patricia Laurencia, Rainer na May pamoja na wadogo zangu Emmy, Lisa, Sonia na kaka zangu Barret, Allen, Dotto bila kuwasahau wadogo zangu Hubert na Joseph... Marafiki zangu wote na Mashabiki wa Manchester United Dunia nzima.... 

Mmiliki wa blog hii BONIFACE MJAILA 
Kuwa mwanafamilia wa boniface mjaila blog kwa kulike page FACEBOOK , na usiache kutembelea blog yako bomba kabisa, pia nifollow TWITTER

Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.