MWANAUME
MMOJA MAKAZI WA KISEKE ILEMELA JIJINI MWANZA,AMEKUTWA AMEKUFA BAADA YA
KUJINYONGA JUU YA MTI WA MUEMBE NA MWILI WAKE KUKUTWA UMEHARIBIKA VIBAYA
HUKU UKITOKA MAJI NA HARUFU MBAYA.INAKADILIWA
MTU HUYO ALIJINYONGA SIKU TATU ZILIZOPITA,NA CHANZO CHA KIFO HICHO
HAKIJAFAHAMIKA KUTOKANA NA MAREHEMU KUJINYONGA PASIPO KUACHA UJUMBE
WOWOTE.
WAKAZI WA ENEO HILO WALIOFIKA ENEO LA TUKIO WALISHINDWA KUMTAMBUA MTU HUYO KUTOAKANA NA MWILI WAKE KUHARIBIKA VIBAYA.MAAFISA
WA POLISI WALIOKUWEPO ENEO LA TUKIO WALIAMURU MWILI HUO UZIKWE BAADA YA
KUFANYIWA UTAFITI NA DAKTARI ALIYEKUWEPO ENEO HILO LA TUKIO.
MWILI WA KIJANA HUYO UKIWA JUU YA MTI KABLA YA KUTEREMSHWA.
HUU NDIYO MWILI WA KIJANA HUYO IKIWA UMESHUSHWA
WANANCHI WAKIUZIKA MWILI WA MWANAUME HUYO.
TARATIBU ZA MAZIKO ZIKIENDELEA. R.I.P
SOURCE: SWAGGZTZ
No comments:
Post a Comment