
HABARI ZA HIVI PUNDE!! AJALI NYINGINE MBAYA MAENEO YA KIEGEYA GAIRO, GARI LA ABIRIA KUTOKA DAR-TABORA LIMEPATA AJALI MBAYA KIASI KWAMBA WATU KARIBIA 48 WAMEPOTEZA MAISHA ..VIONGOZI MBALI MBALI WA SERIKALI WAPO ENEO LA TUKIO..KWAKWELI NI MAJONZI VILIO NK.
Air BUS DAR-TABORA..


No comments:
Post a Comment