Arsenal siku ya leo imetoa kichapo kikali sana dhidi ya aston villa Mesut Oezil alianza kushinda mnamo dk.33 huku kijana aliyetoka manchester united danny welbeck akipachika la pili dk.34 huku la mwisho aly cissokho mchezaji wa aston villa akijifunga mwenyewe...
MATOKEO MENGINE HAYA HAPO CHINI
2 - 2 | |
0 - 3 | |
0 - 0 | |
2 - 2 | |
0 - 1 | |
3 - 1 |
No comments:
Post a Comment