The Insider ya Uganda imeripoti exclusively kuwa Club ya 40/40 iliyoko New York, Marekani inayomilikiwa na mfanyabiashara na rapper Shawn Corey Carter aka Jay Z, imefungua tawi jijini Kampala, Uganda.
Tawi hilo 40/40 club ya Kampala ambalo linadaiwa kuwa
ndio la kwanza kwa Afrika nzima limefunguliwa rasmi Ijumaa iliyopita September 26.
ndio la kwanza kwa Afrika nzima limefunguliwa rasmi Ijumaa iliyopita September 26.
40/40 ya Kampala kwa ndani
Taarifa hiyo imeongeza kuwa club hiyo ina mpango wa kufungua matawi mengine Afrika Mashariki.
40/40 ya New York
Source: THEINSIDER.UG
No comments:
Post a Comment