Producer
anayewania tuzo ya mtayarishaji bora wa muziki wa bendi kwenye KTMA
2014 amepata ajali mbaya na kuumia kichwani huku bajaj aliyokuwa
amepanda kuharibika sana.
C9 amewahi kutengeneza ngoma nyingi kama Mama Ntilie, nyimbo nyingi za marehemu Sharo millionea na nyingine.
Hivi sasa anaendelea vizuri hadi anajibu pole anazopewa na mashabiki zake kwenye mtandao wa instagram.
No comments:
Post a Comment