Watangazaji wawili
wa kipindi cha televishen "The View" wamewapa watazamaji wao mshangao pale
walipovua nguo zao na kubaki uchi wakati show hiyo ikiendelea
Sherri Shepard na
Jenny McCarthy wliamua kubadilisha mambo na kutangaza kipindi chao wakiwa uchi
wa mnyama.
Watazamaji
hawakuonekana kujali kutokana na tukio hilo na kuwapigia makofi na kelele nyingi
No comments:
Post a Comment