Will Smith
ni miongoni mwa mastaa waliofanikiwa kufanya vyema kupitia uigizaji na
tayari ameshafanya vizuri katika baadhi ya movie zake kama ‘Independent Day’, na ‘The Wolf of Wall Street’.
Wapenzi wa movie sasa wanaweza kuwa na subira kidogo baada ya staa huyo kutoa trailer ya movie yake mpya inayoitwa ‘Focus’ ambayo amemshirikisha mwanadada Margot Robbie.
Movie hiyo itaanza kuonekana rasmi kesho February 27.
Nakukaribisha hapa kuitazama..
No comments:
Post a Comment