MOVIE MPYA: MASTAA WAUNGANA KUTOA MOVIE IITWAYO AVENGERS 2:AGE OF ULTRON!!
Mastaa wote wamo humu! Kampuni ya kutengeza movie Marvel wametoa tangazo la movie AVENGERS 2:AGE OF ULTRON!! Movie hiyo inatoka may 1...
Mastaa kibao watakuwemo wakiwemo washiriki walicheza kwenye movie kali kama Captain America (Chris Evans), Thor (Chris Hemsworth), Iron Man (Robert Downey Jr), Black Widow (Scarlett Johansson), na wengine wengi...
No comments:
Post a Comment