NI HUDHUNI KWA MASHABIKI WA HIPHOP: RICH HOMIE QUAD KUONDOKA KATIKA KUNDI LA "RICH GANG"
Jana usiku rich homie quad ameachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha young thug iitwayo "HOMIE" hata hivyo huo ushirikiano wao huo kwa muda mrefu katika kundi la RICH GANG jana ametangaza rasmi kuondoka kwa muda katika kundi hilo na kwenda kufanya kazi zake mwenyewe...
Katika interview yake aliyokuwa akihojiwa kwenye radio ya marekani iitwayo Atlanta radio station Hot 107.9, alisema ataacha kwa muda kufanya kazi za kundi na kwenda kufanya kazi zake mwenyewe kama solo artist... "I have been focusing more on myself, I've stepped away from Rich Gang a little bit just to get back to Quan. The people want Quan back" he says to the Durtty Boyz. "It's cool for the moment."
Aliendelea kuongea "It's been so long since I dropped a mixtape...it's time for Atlanta and the world to know that Quan has improved and it's a new sound here. This new sound honestly, I feel as if I had me a Grammy bro,"
No comments:
Post a Comment