Jay Z na Beyonce waliamua kuendelea na maisha yao kwenye nyumba ya kupanga baada ya kukosa nyumba ya kununua yenye hadhi waliyoitaka.
Justine Bieber naye kajisogeza Bevery Hills, maeneo ambayo mastaa wengi wanaishi kama Jay Z na Bey, JLO, Taylor Swift na wengine wengi.
Hizi ni baadhi ya picha za nyumba mpya aliohamia kwa sasa Bieber.
Katika nyumba hiyo ambayo kwa mwezi
amekuwa akilipia kiasi cha dola 35,000 ina vyumba vya kulala vitano,
mabafu sita, sehemu ya kuogelea na vitu vingu vua kuvutia.
Hii ni mara ya tatu kwa staa huyu kupanga nyumba tangu ahame kwenye nyumba yakeiliyokuwa eneo la Casabasas.
No comments:
Post a Comment