MAS STANZA KUTOA ALBUM YAKE TAREHE 25/02/2015
Mas stanza ni msanii wa HIPHOP Tanzania, anayefanya vyema sana kwenye game, sasa kutoa MIXTAPE iitwayo THE MORNING DREAM, usijaribu kupitwa na hii MIXTAPE...
Kuna nyimbo kama KAWAAMBIE iliyofanya vizuri sana mwaka jana...
Inatoka tarehe 25/02/2015 na itapatikana kwa Tsh.5000 tuuu, support mziki mzuri..
Kwa mawasiliano ya jinsi ya kuipata MIXTAPE HII:0655234397
No comments:
Post a Comment