KIM NA KANYE WATANGAZA JINSIA YA MTOTO WAO ATAKAEZALIWA JULY
Kim
Kardashian na Kanye
West wanategemea
kupata mtoto wa kike.Jinsia ya mtoto ilitangazwa wakati wa msimu mpya wa 8 wa
reality show ya "Keeping
Up With the Kardashians."
Camera ya kipindi hicho, ilimfata Kim hospitali alipokuwa na appointment na Dr wake, wakati yeye na dada zake Kourtney na Khloe, na mama yake Kris Jenner walijua jinsia ya mtoto huyo
Camera ya kipindi hicho, ilimfata Kim hospitali alipokuwa na appointment na Dr wake, wakati yeye na dada zake Kourtney na Khloe, na mama yake Kris Jenner walijua jinsia ya mtoto huyo
Khloe alitangaza kwenye "Watch What Happens Live" kuwa Kim atajifungua mwezi wa 7. Kilichobaki midmoni mwa mashabiki wa Kanye na Kim ni kuhusu jina la mtoto, na jina la mtoto litaanza na herufi K???
siku ya jumapili marafiki wa Kim na
familia yake walikutana kwa ajili ya baby showers ya Kim ambapo pia Kanye
alihudhuria.
No comments:
Post a Comment