MBUNGE
JOSEPH MBILINYI "SUGU" AOMBA RADHI KWA KUMTUKANA WAZIRI MKUU
Mbunge wa mbeya mjini
mheshimiwa Josesph Mbilinyi aomba radhi kwa waziri mkuu mheshimiwa Mizengo Pinda
na watanzania kwa ujumla kwa tusi alilomtukana.
Amesema haya kwenye page yake ya FB, "ndugu watanzania,
naombeni radhi kwa tusi nililolitoa kwa mhe Pinda, kwani nilikua nimeghafirika,
halikuwa kusudio langu kumtukana mmoja ya viongozi wa
nchi
No comments:
Post a Comment