HIKI NDICHO KILICHOMUUA NGWEA
Habari kutoka kwa
mtu wa karibu na Rapper Ngwea, aliejitambulisha kwa jina la Hamisi, amesema
Ngwea alikua kule kwa mualiko wa kufanya show South Africa, ambapo alikua na
msanii mwingine anaeitwa M to the P, na walitakiwa kuondoka leo kurudi Dar saa
tatu asubuhi, lakini baada ya kuona hawatokei ndio wakaamua kwenda walipokuwa
wamefikia na kuwakuta wote wawili wakiwa hawajielewi baada ya kujidunga madawa
ya kulevya mengi (overdose), walipowahishwa hospitali, habari ndio ikawa hivi,
kuwa Ngwea amefariki na M to the P yuko hoi hospitali
May God give you
peace brother.
No comments:
Post a Comment