Breaking News
recent

DAVID MOYES KUVIZIA SAINI YA EDINSON CAVANI...

Mruguayi huyo anayeendelea kuwa msaada mkubwa kwenye klabu yake ya PSG, aliriipotiwa akisema hana furaha katika klabu hiyo kutokana na kocha wake Laurent Blanc kutomchezesha mara kwua mara tangu aliponunuliwa kutoka Napoli kwa paun 64milion. David Moyes yupo mbioni kutafuta saini ya mchezaji huyo baada ya timu hiyo ya mashetani wekundu kuendelea kufanya vibaya katika ligi kuu,
Club nyingine zinazotafuta saini ya cavan ni Chelsea na nancy ya ufaransa.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.