Rapper wa kimarekani Jayceon Terrell Taylor aka
The Game ambaye kwa sasa yupo barani ulaya kwa ajili ya Tour yake aliyoipa jina
la BloodMoney, jana alikuwa jijini Manchester na alitumia nafasi yake kuwepo
kwenye jiji hilo kwa kuonyesha mapenzi yake kwa klabu ya Manchester United. The
Game alienda kununua jezi ya klabu hiyo na kuitinga kisha kupiga picha na
kuitundika katika akaunti yake ya Instagram.
Unknown
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment