ALICHOSEMA MOURINHO KUHUSU WACHEZAJI WA MADRID KUPENDA KUJIREMBA
Jose Mourinho amezungumza kuhusu tabia ya wachezaji wa klabu yake ya zamani kujali zaidi muonekano wao kuliko hata kushinda makombe.
Mourinho ambaye aliondoka Real Madrid baada ya kuifundisha kwa miaka mitatu kabla ya kurudi Stamford Bridge, amesema wachezaji wa Madrid walikuwa wakishinda kwenye vioo vya dressing room kabla ya mchezo.
“Mara nyingi ungewakuta wachezaji kwenye vioo kabla ya mchezo ya wakati refa anawasubiri kuelekea uwanjani,” Mourinho aliliambia gazeti Esquire.
“Lakini hivi ndivyo ilivyo jamii ya vijana wa siku hizi. Vijana wanajali sana kuhusu muonekano wao, wapo katika miaka ya 20 na mie 51 na ikia unataka kufanya kazi na watoto inabidi uielewe dunia yao.
No comments:
Post a Comment