Young Killer afanya collable na msanii wa hip hop mwenye miaka 11
Msanii
anaeiwakilisha Mwanza, kutoka Super Nyota 2012, "Young Killer" amefanya
collable na msanii mdogo wa hip hop (11) anaeiwakilisha Mwanza pia "Dogo
D"
Collable hiyo
waliyoipa jina la "Bora tu nipate Bora tu nipate maadui" inategemewa kutoka wiki
ijayo.
Dogo D ni msanii wa
hip hop ambae licha ya kuwa na umri mdogo kiasi hicho ameshafanya collable na
Roma (haijatoka) na tayari ana single ambayo inafanya vizuri pande za Mwanza
"Mungu Nipe" feat Abuu Mkali.
No comments:
Post a Comment