KIONGOZI WA KAMBI RASMI BUNGENI MH. MBOWE AMETOLEWA NJE YA BUNGE
Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mh Mbowe ametolewa nje ya Bunge,
baada ya kukaidi amri ya Naibu spika Mh Ndugai alipomwamuru akae na Mh Mbowe
kutokutii amri hiyo. Mh ngudai aliamuru askari wa Bunge kumtoa nje, hata hivyo
baadaye wabunge karibu wote wa upinzani walitoka pia isipokuwa Mh. Augustin
Mrema wa TLP. Upinzani Bungeni unadai muswada wa katiba 2013 unamapungufu.
No comments:
Post a Comment