HII
NDIYO KAZI YA PALE DODOMA, MHE JOSEPH MBILINYI AKIWA CHINI YA ULINZI WA ASKARI
WA BUNGE MJINI DODOMA.
Askari wa bunge
la jamhuri wa Muungano wa Tanzania wakimdhibiti Mhe mbunge wa Chadema jimbo la
Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi a.k.a Suga ndani ya bunge wakati akitolewa ndani ya ukumbi wa bunge
hilo mjini Dodoma leo.
No comments:
Post a Comment