Breaking News
recent

MUSIC: DAVE EAST - I GOT THE KEYS (REMIX)

Baada ya wiki kadhaa kupita, DJKhaled aliachia ngoma yake ijulikanayo kama I got the Keys, aliyowashirikisha marapper wakali Future pamoja na Jay Z.



Track hiyo ambayo pia ipo katika album yake mpya aliyoiachia tarehe 1/08/2016 kinafanya vizuri katika TV tofauti tofauti duniani..

Rapper Dave East ni mmoja wa wasanii walioifanyia Remix nyimbo hiyo. Msanii huyo mkali aliyepo katika record label ya Mass Appeal Records anayetamba na kibao cha Nothing bout Nothing.



Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.